Thursday, May 9, 2013

0

NEW TRACK | BOBBY MAPESA-RINGA

Posted in


Ni ngoma mpya kabisa kutoka ya mwanamuziki kutoka Kenya, Bobby Mapesa ambae amekuwa kimya kidogo kwenye game ya muziki ambapo back then alitamba sana na baadhi ya tracks zake kama Kamoja Tu, Wezere, Gwara Winch na nyinginezo ameachia ngoma nyingne ...
Safari hii mwanamuziki huyu ameamua kuja na ujio mpya ambapo ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "RINGA" ...
Unaweza sikiliza na download ngoma hii hapa chini ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ