Next
Previous
Showing posts with label M-Rap. Show all posts

Monday, July 15, 2013

0

TRACK MPYA: DJ CHOKA FT. DEDDY, M-RAP, GOSBY & MABESTE - LATINO NATION

Posted in , , , , ,

Saturday, July 13, 2013

0

TRACK MPYA YA DJ CHOKA KUTOKA HIVI KARIBUNI | B' HIT MUSIC GROUP TENA

Posted in , , , , ,
 
DJ CHOKA IS BACKKKKK.... DJ Choka ft Deddy, Mrap, Mabeste & Gosby - LATINO NATION. Jumatatu hii 15/7/2013. Stay Tuned

Thursday, May 9, 2013

0

M-RAP NA DEDDY KUTOA TRACK MPYA | KAA TAYARI

Posted in , ,

That Lil' Ninja kutoka katika Label ya B-Hitz maarufu kama M-Rap Lion anakuja tena ... M-RAP ambae anafanya vizuri na ngoma zake za DESTINY, TUNA-MAINTAIN pamoja na kundi zima la BHitz ... is set to drop ngoma yake nyingine ... ATTENTION !!!
M-RAP LION ambae pia alichana vizuri kwenye ngoma ya DJ CHOKA, PRESS PLAY akisimama vizuri kwenye VERSE ya kwanza anatarajia kuachia kazi yake nyingine itayofahamika kama "ATTENTION" ...
Katika ngoma hiyo ambayo amempa tena shavu msanii kutoka BHitz akijulikana kama DEDDY ... Ngoma hii itakuwa Produced na Producer Pancho Latino pamoja na Hermy B wote kutoka BHitz ...
Mashabiki wa M-RAP endeleeni kutembelea GongaMx ili muwe wa kwanza kuisikiliza ngoma hiyo hapa kwa mara ya kwanza ...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ