Thursday, May 9, 2013

0

NGWAIR KUFANYA TRACK NA MKALI BEN POL | SOMA TWEETS ZAO KUHUSINA NA COLLABO HILI

Posted in ,



King wa CHORUS Na RnB in TANZANIA kwa sasa, BEN POL yupo katika matengenezo ya ngoma nyingine na mwanamuziki mwenzie ... NGWAIR a.k.a COWIZZY ...
Ngoma hiyo ambayo according to their conversations ni kuwa anaesubiriwa kwa sasa ili imalizike ni NGWAIR tu ...
Check maongezi haya katika YA BEN POL na NGWAIR ...
NGWAIR yuko nchini SOUTH AFRICA kwa sasa and hopefully anadondoka TANZANIA kama Tarehe 17 hivi ... When he's down here its BEN PIZZE na COWWIZZY on this one ... Afu kama wameliamulia hivi SONG hili ...
Bado JINA la mdundo huo halijafahamika and we will soon close kuwafahamisha zaidi kuhusiana na wimbo huo ...

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ