SHOSTEEZ ON A TV REALITY SHOW
Posted in Lamar Niekamp, Shosteez
Baada ya kuachia video ya single yao inayoitwa On The Floor ambayo wameachia wiki mbili zilizopita, sasa Shosteez wanataka kuja na kitu kipya kabisa.
Producer Lamar ambae ndie anaeli-manage kundi hilo la Shosteez, amethibitisha kuwa kundi hilo liko mbioni kuja na kipindi cha Realty TV Show ambacho bado hakijajulikana kitaanza kutengenezwa lini na kitarushwa na televisheni gani. Watu tofauti wameonekana kulipokea vizuri hili akiwemo Diva [Loveness Love] na kutuma "best wishes" zake kwa Lamar na kundi hilo...
Check tweet ya Lamar on twitter hapa chini:
0 Maoni/comments: