WEMA SEPETU AONYESHA PICHA YA MTU ANAYESEMA NI MUMEWE
Posted in Diamond Platnumz, Wema SepetuWema Sepetu akiwa kimahaba na mwanaume aliyedai ni 'mumewe'. |
Picha hiyo ambayo aliiweka kwenye mtandao wa BBM inamuonesha msanii huyo akibusiana na mwanaume huyo lakini wakionekana kuanzia kwenye kidevu hadi kwenye kiuno.
Baada ya kuitupia picha hiyo, Wema aliandika: ‘Miss you mume wangu, wewe ndio kila kitu katika maisha yangu, watasema sana lakini mambo yetu yanatuendea vizuri.” Maneno hayo yanaashiria kuwa Wema anampenda sana mwanaume huyo ambaye siyo Diamond.
SOURCE: Bongo Clan
0 Maoni/comments: