Monday, January 14, 2013

0

Special Kwa Wapenzi Wa Maria Sharapova..

Posted in , , , ,
Wale watumiaji wa Twitter na wapenzi wa Maria Sharapova,mtoto mzuri wa pale Moscow..mchezaji Tennis namba 2 kwa ubora kwa rank za sasa hivi hatimaye nawatangazia kuwa mlimbwende wetu amefungua rasmi account ya Twitter na sasa ni wakati wa ''kumfuata'' huko.

Baada ya kunata Facebook kwa miaka miwili huku akijizolea mashabiki Million 9.2 hatimaye ameamua kufungua na milango ya twitter huku tweet yake ya kwanza ikiwa kama inavyoonekana na picha hapo chini.

Ikumbukwe pia Sharapova kafanikiwa kuingia katika round inayofuata ya michuano ya Australian Open iliyoanza jana huko Australia baada ya kumzaba Mrusi mwenza Puchkova kwa set 6-0,6-0 bila huruma
Kwa michuano ya Australian Open na habari nyingine za michezo endelea kufuatilia kwenye blog hii..

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ