Friday, January 18, 2013

0

NISHER KUFANYA VIDEO YA PRESS PLAY YA DJ CHOKA DAR

Posted in , , ,

       Director Nisher kutokea kampuni ya Nisher Entertainment iliyopo Arusha, Tanzania kesho anatarajia kutua Bongo, Dar Es Salaam kwa ajili ya kufanya video ya PRESS PLAY ya DJ Choka. Nisher ambaye kwa sasa anakuja kwa kasi sana katika tasnia ya utengenezaji wa video za wasanii wa hapa nchini ambaye pia anatengeneza video ya Belle 9 ya LISTEN ambayo hivi karibuni itakuwa tayari imekamilika.
  "Nitakuwepo kwa wiki kadhaa nikitengeneza video hiyo..." -Producer Nisher amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook leo na kuongeza kuwa,

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ