ZIMEVUJA..TAREHE,PICHA NA BEI YA BB10!!
Posted in Apple, BB10, RIM, Samsung
Hatimaye wale waliowahi kuwa vinara wa ''smartphones'' kabla ya kupigwa teke na Apple & Samsung wamejipanga kurudi kwa style ya kipekee,taarifa zinadai kuwa wameamua kurudi na kuchukua nafasi yao sokoni,wamechoka kuwa watazamaji!
Chini ya kampuni ya RIM(Research In Motion) BB waliweza kujizoelea umaarufu na nafasi kubwa sokoni hasa miongoni mwa vijana na ''walevi wa teknolojia''
![]() |
BB10 ITAKUWA NA VIDEO CALL PIA |
Kwa sasa wanakuja na BB10 ambayo imeshafahamika kuwa itazinduliwa JANUARY 30 na bei itakuwa ni dola 799..
Kwa habari zaidi kuhusu hii issue endelea kuifuatilia hii blog,tutakuwa tunawaletea maendeleo juu ya habari hii!
0 Maoni/comments: