Timu Ya Taifa ENGLAND, Imejipangaa Kusaini mkataba na NIKE
Posted in England, Manchester City, Nike, Umbro
Umbro ambayo imekuwa ikiidhamini timu ya Taifa England kwa takriban miaka 50, Ijapokuwa bado ina mkataba nao hadi mnamo mwaka 2018.
England wanategemea kutangaza jezi yao ya Ugenini hapo mwakani wakati wa ubadilishaji Jezi.
Licha ya England Kuhamia NIKE, Manchester City nayo imejipanga Kujiunga na NIKE, licha ya kuwa na mkataba wa miaka 10 na Umbro.
0 Maoni/comments: