Next
Previous
Showing posts with label England. Show all posts

Wednesday, February 6, 2013

0

UINGEREZA WAIFUNGA BRAZILI, KATIKA MECHI YA KIRAFIKI

Posted in ,


Wakati chama cha soka FA kikiadhimisha miaka 150 ya FA, UINGEREZA WAMLABUA BRAZIL, ni kwa magoli ya Wayne Rooney na Frank Lampard.
#Ronaldinho akosa penati
#Neymar acheza chini ya kiwango
#Wilshere azidi kuonesha ubora
#Wayne Rooney afunga na Kusaidia goli Moja



Brazil Wakishangilia Goli la Fred



Tuesday, August 28, 2012

0

Timu Ya Taifa ENGLAND, Imejipangaa Kusaini mkataba na NIKE

Posted in , , ,
England wamejiandaa kujiunga na NIKE kama wadhamini wao Wapya, katika JEZI, England Ambayo hivi sasa iko chini ya UMBRO.


Umbro ambayo imekuwa ikiidhamini timu ya Taifa England kwa takriban miaka 50, Ijapokuwa bado ina mkataba nao hadi mnamo mwaka 2018.
England wanategemea kutangaza jezi yao ya Ugenini hapo mwakani wakati wa ubadilishaji Jezi.
Licha ya England Kuhamia NIKE, Manchester City nayo imejipanga Kujiunga na NIKE, licha ya kuwa na mkataba wa miaka 10 na Umbro.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ