Wednesday, August 29, 2012

0

Usajili '15' Wa Mwisho na Wa Kusisimua EPL

Posted in , , , , , ,

Click to zoom 


1.Robinho to Manchester City, 2008 

Kipindi Mark Hughes Yuko Chini Ya Mabosi wapya na Matajiri Toka UAE, Alihaidiwa Kupewa Pesa za kutosha za Usajili, Kipindi hicho Robinho alikua Anakaribia Kwenda Chelsea, Na Timu hyo ya London Ikanyang'anywa tonge mdomoni.

2.Dimitar Berbatov to Manchester United, 2008

Click to zoom Manchester United walikuwa wakimfukuzia kwa Kipindi kizima cha usajili, Huku maasimu wao ManCity wakiongeza Pesa Na Nguvu KUmsajili, Wakati wa Dk. Za Mwisho Berbatov akitoka Tottenham na kuelekea ManCity Kusain Mkataba, Ferguson aliingilia Kati na Kumsajili kwa Dau Kubwa Zaidi.

3.Rafael van der Vaart to Tottenham, 2010

Click to zoomBayern Munchen walizimwa ghafla na Tottenham ijapokua walitoa Dau kubwa, ndipo Hapo Mdachi Van Der Vaart Aliondoka Real Madrid na kujiunga na Mahasimu wa Arsenal, Tottenham HotSpurs

4.Andrey Arshavin to Arsenal, 2009

Click to zoomMrussi Huyu baada ya kusumbua sana Katika EURO 2008, baada ya kuwatoa Uholanzi, alipata jina kubwa sana, lililochangia kugombaniwa na Timu Kubwa. Licha ya Wenger kuwa Bahili, hapa Alijipanga na kumwaga mpunga katika siku ya mwisho na kumtangaza kama mchezaji mpya siku inayofwata.

5.Wayne Rooney to Manchester United, 2004

Click to zoomNewcastle walikua wameandaa Pesa ya Kutosha kumnunua toka everton, ili atue Tyneside. Lakin Ferguson as a silent killer alimalizana na Everton kwa Pesa ya kutosha na kumfanya Wazza atue ManUtd mwaka 2004.

6. Ashley Cole to Chelsea, 2006

Click to zoomBaada  Ya Arsenal Kumwongezea Mshahara mdogo wa kama £55,000, Ndipo Chelsea wakaja juu na mshahara mkubwa, na kama ilivyo kawaida ya Wenger ambaye huwa akwepi fedha aliweza kumwachia mchezaji huyo japo nao walimpata William Gallas ambaye alikua ni sehemu ya makubaliano.

 

 

 

7. Fernando Torres to Chelsea, 2011

Click to zoomUnunuzi wa huyu jamaa ulikuja baada ya Ancelloti kutaka kutetea taji lake, Ndipo Abramovich alitoka Pesa ya kutosha ambayo ilifanya Torres aweke record ya usajili Uingereza. Liverpool walichukua kitita hicho na kufanya nao usajili ambao haukuweza kuziba pengo lake katika muda huo.

 

 

8.Andy Carroll to Liverpool, 2011

Click to zoomSince Torres had departed for Stamford Bridge, Kenny Dalglish realised the Reds needed a replacement. And fast. How the club decided Newcastle target man Carroll would be a decent like-for-like replacement for the Spaniard is anyone’s guess, but they spent the whole day in negotiations with the Toon Army for their burly forward. Newcastle somehow managed to drive the fee up to £35 million, which Liverpool stupidly decided to pay, ending the most expensive day in deadline history. 

 

9.Carlos Tevez/Javier Mascherano to West Ham, 2006

Click to zoom The Hammers stunned the footballing world by bringing two Argentinean superstars to Upton Park on deadline day back in the summer of 2006. Tevez and Mascherano had been attracting the interest of many of Europe’s top clubs that summer, so people were understandably confused when the Hammers popped up, announcing the players’ arrival from Corinthians. Mascherano was a disaster and swiftly left for Liverpool, but Tevez proved to be a real hero, keeping the Hammers in the top flight with his goals, before it turned out the deal was dodgy after all.

 

10. Jermain Defoe to Portsmouth, 2008

Click to zoom Remember the days when Pompey splashed the cash all over the shop, bringing in players of the highest calibre? Well, one of their best signings was Tottenham striker Defoe, who arrived in 2007 for a cut-price fee of £6 million, forming a lethal partnership with Peter Crouch. Defoe scored 14 goals in 30 games for Portsmouth before he rejoined Spurs just a year later.

 

 11) Robbie Keane to Liverpool.
12) Parker to Tottenham.
13) Fellaini to Everton.
14) Owen to Newcastle.
15) Arteta to Arsenal.

 

 

 

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ