ANDRES INIESTA: Mchezaji Bora Wa Ulaya 2011/2012
Posted in Andres Iniesta, Cristiano Ronaldo, Lionel MessiWengi Walipenda CR7 achukue, Huku wengi vilevile walitaka Messi Achukue Tuzo hiyo, Ila Kura ndizo Ziliongea Zaidi, Na Kumfanya Mchezaji Bora wa EURO 2012 kupata Tuzo hiyo.
Iniesta Alichaguliwa kwenye Mkutano huo wa UEFA, kwa Kura zilizopigwa Live na Waandishi wa Habari 53, kutoka kwenye Nchi wanachama. Hongera Kwake Andres Iniesta(28)
0 Maoni/comments: