Sunday, July 22, 2012

0

Mr. Nice-Mzee wa TAKEU Style

Posted in
Alipoteaga sana, wengi wakisema amefiliska, na mengi yakinenwa na karudi na nyimbo zake mbili zinazogonga sana kwa sasa. NI ile NIONJE ft. Barnaba na Tabia Gani. Nyimbo hizo zikiwa zimetolewa na Producer Lamar Niekamp, na wengi kuamini kuwa producer huyo ndo kiini cha mafanikio ya msanii huyo kwa sasa.
                                
Leo tumeamua kuwa na Flashback ya msanii huyu ambaye ndo mwanzilishi wa style ya Takeu Style, ambayo ilichezwa sana miaka ya Nyuma zaidi ya KIDUKU. Msanii  huyo alitoa Album iliyoitwa RAFIKI ambayo ilijumuisha HitSongs Kibao ikiwamo FAGILIA, KIKULACHO, RAFIKI yenyewe na nyinginezo.


0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ