Gooners-Mashabiki Wasio Na Fadhila
Posted in Lukas Podolski, Robin Van Persie
Mashabiki wa Arsenal ni wa ajabu sana. Hajawahi kuondoka mchezaji wao wakaacha Kumponda. Henry ndo amejiepusha mbali.
#Van Persie alisifiwa sana mpaka wakaanza kusema ataMfundisha Ryan Giggs kutumia guu la Kushoto na Pia wakasema ''We dont Need Batman, We have Robin''
Sasa wanasema ''God created Lukas Podolski to teach RVP how to use his left foot '' Kwamba Lukas Podolski anatumia vizuri zaidi guu la Kushoto. Hao ndo Mashabiki wa Arsenal ''GOONERS''

0 Maoni/comments: