Next
Previous
Showing posts with label Irene Uwoya. Show all posts

Tuesday, November 26, 2013

0

PHOTO }TATOO ALIYOJICHORA UWOYA MGONGONI

Posted in


Hivi karibuni Irene Uwoya alisema kwamba anamipango ya kuacha bongo movie lakini hakuweza kutoa sababu zinazomsababisha yeye kuacha tasinia hiyo ya bongo movie. Mwanadada huyo amerudi tena kwenye headlines kwa kuonyesha tattoo yake aliyojichora mgongoni.

Tuesday, August 6, 2013

0

TV SHOW YA IRENE UWOYA KUSHIRIKISHA NYOTA KADHAA (HAWA NDO WALIOSHIRIKISHWA KWA SASA)

Posted in , , , , ,


“Nafurahi kuona jinsi kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu, mmoja kati ya watu maarufu ambao walihusika kwenye show ya Irene Uwoya. Katika harakati za kutengeneza kipindi chake, Irene amekutana na mastaa tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo yatakuwa kwenye show yake. Chukua time yako ya kuona jinsi ilivyokuwa na upate sababu nyingine ya kuangalia hii show kupitia @CloudsTV na pia unaweza kucheki promo yake hapo pembeni.
Mtitu wa 5effects

Friday, August 2, 2013

0

BAADA YA WEMA SEPETU, SASA UWOYA NAYE KUJA NA SHO YAKE

Posted in
Aug 1 2013 mwigizaji staa Irene Uwoya alitangaza kupitia millardayo.com kwamba wiki ijayo jumanne saa tatu na nusu usiku ataanza kuonekana kwenye show yake mpya ya TV.

Ni show ambayo Watanzania mbalimbali wa kipato cha chini watakua wanamtumia barua pamoja na picha za nyumba zao zilizo kwenye hali mbaya ili zikarabatiwe.

Pamoja na kupokea barua nyingi, Irene ataangalia ipi imemgusa zaidi ili aende kuikarabati hiyo nyumba…..karibu umtazame kwenye hii video hapa chini na pia unaweza kutoa maoni yako ambayo atayasoma mwenyewe leo saa 4 usiku.

Wednesday, May 1, 2013

0

HUU NDO MUONEKANO WA SASA WA MTOTO WA IRENE UWOYA

Posted in ,
irene
IRENE UWOYA AKIWA NA MWANAYE

Thursday, April 11, 2013

0

KAULI YA IRENE UWOYA BAADA YA KUTUHUMIWA KUGAWA URODA KWA DIAMOND , SOMA ALICHOKISEMA HAPA

Posted in ,
Baada ya habari nyingi kuhusu Irene Uwoya kufumaniwa na Diamond kutawala vyombo vya habari mitandao hapo juzi, bongomovies  iliamua kumtafuta kwa simu  Irene Uwoya ili kuweza  kupata  majibu  ya tuhuma   za yeye kuingilia penzi lwa mwanadada Penny....
Bongomovie  inadai  kuwa ,jana tangu asubuhi  ilikuwa  ikimtafuta  Irene  Uwoya  hewani  bila  mafanikio  kwa  kuwa  simu  yake  ilikuwa  ikiita  bila  kupokelewa....

Saa kumi na mbili hivi jioni, bongomovie hatimaye  ilifanikiwa kumpata Uwoya  hewani na  kumtwisha  zigo  hilo  la  lawama  na  maswali  kibao  kuhusu  kufumaniwa  na  Diamond.....

Bongomovie  inadai  kuwa, Uwoya  alishindwa  kujibu  tuhuma  hizo  na  kutoa  jibu  moja  na  fupi  la  mkatona .."ACHANA  NAZO, HAZIWAHUSU"


Kundi  zima  la bongo movie  likaona  isiwe tabu ....likaamua  kumwacha  binti  huyo  .Hata  hivyo kwa  mtu  yeyote  mwenye  umakini wa  kufikiri  atakuwa  amekwisha elewa Uwoya  alimaanisha  nini...!!
0

HUU NDIO USHAHIDI ALIOTOA SINTAH KUA DIAMOND NA UWOYA SI WAPENZI.

Posted in , ,
haya ni ktk kwa penny
#me, #moviefreaks,
 #partnerincrime, #identitythief,
 #maajabu, #leojamaahasinzii,
 #missmet, #besty, #lovehim, #boyfy, #menginetuwaachiebabanamaaamaa,
haya ni kutoka kwa Diamond platinum
akiwa ameweka pic ya penny ktk instagram
 #mybuddy, #mynigga, #fromthemovies,
 #lovethisgurl, #mybaby, #wifey,
 #basigudnite, #nihayotu,


majibu ya maswali yenu ndio haya 
ooh baby mama kaachwa
 

Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana century cinemax  na lile baridi kama nawaona.

mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi 

I do the seeking and you do the judging.

Monday, September 24, 2012

0

IRENE UWOYA NA HALLE BERRY KUIGIZA PAMOJA??

Posted in ,

WAKATI msanii Irene Uwoya akiendelea kufanya mchakato wa kutaka kushiriki kwenye filamu za kimataifa, tayari inadaiwa kuwa anatarajia kula shavu kubwa ambalo hajawahi kuliota la kushiriki filamu moja na msanii maarufu Halle Berry kutoka marekani.
Halle Berry ni moja ya wasanii mahiri kabisa ambao wana uwezo mkubwa kwani ameweza kuonesha uwezo wake kwenye filamu kama ‘Die Another Day’, Catwoman, New Year’s Eve, Monster’s Ball na nyingine nyingi.

Ishu ya Uwoya kushiriki ndani ya filamu moja na mwanadada huyo inadaiwa kuwa katika mazungumzo anayofanya nchini Uingereza mmoja ya wadau wakubwa ya tasnia hiyo kutoka Marekani ndiye aliyempa ishu hiyo baada ya kuona baadhi ya filamu alizocheza pamoja kujiamini kwake.

Uwoya alidai kuwa bado hajaamini kwani hajapewa ishu kamili na ameambiwa kuwa atajulishwa kwa njia ya email endapo kila kitu kitakuwa sawa kwa sababu ya ratiba ya Berry.

“Naweza kucheza filamu moja na Halle Berry, ingawa sijajua kama ishu hii inaweza kuwa kweli kwa sababu kama unavyojua kila kitu huwa kinaenda kwa ratiba siyo kama sisi bongo filamu tunajitolea bila hata kufuata ratiba,” alidai.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ