Sep
2013
10
ALICHOSEMA JOKATE, JUU YA MAHUSIANO YAKE NA LUCCI
Posted in Jokate Mwegelo, LucciKumekuwa na minong’ono mingi juu ya Jokate na jamaa mmoja aitwae Lucci kuwa wanamahusiano ya kimapenzi, leo Jokate mwenyewe kupitia account yake ya instagram amesema haya:“Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that’s what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko

0 Maoni/comments: