Sunday, December 30, 2012

0

WALIOVUMA NA KUCHIPUKIA KATIKA FASHION MWAKA 2012

Posted in , , , ,

Katika Mwaka 2012 ambao Ndiyo tunaumaliza, Yamejiri mengi hasa ukizingatia katika fashion. Wengi wamejitokeza, na staili nyingi za kimavazi zilichipuka. Ntakayoyataja hapa chini ni Baadhi ya hayo:

1. Kuchipukia Kwa Martin Kadinda na "SINGLE BUTTON"
Martin Kadinda, Ambaye ametokea katika office za studio maarufu jijini I-View, alikuja na style ya suti za Single Button na kushika sana kasi, kwa kuvaliwa katika Tafrija mbalimbali, huku zikipata jina zaidi kwa kuvaliwa na wasanii kama DIAMOND, OMMY DIMPOZ na wengineo. Hii Ni Hatua Kubwa Saana Kwa Kijana Huyu ambaye pia alizindua ngua aina ya "VIBUNDUKI SHORTS.









2. Jokate Mwegelo Aja na KIDOTI
Huu Ulikua ni mwaka wake mdada huyu mwenye vipaji lukuki, Akiwa ni VJ wa MNET/Channel O Africa. Mwaka Huu alizindua Label yake ya mitindo maarufu kama KIDOTI. Licha ya kua na kashfa za kujihusisha kimapenzi na msanii Diamond Platinumz, Yeye aliendelea na Kusonga mbele. KIDOTI ni chapa inayosimamia ubunifu wa Mavazi na Nywele kwa ajili ya kina dadana wanaMama.



3. Waliokuwemo Na Wakaendelea Kuvuma.
  • Flaviana Matata
  • Ally Rehmtullah-Alizindua The Enchanted Jungle
  •  Mustapha Hassanali.
  • Sheria Ngowi na Wengineo
STYLE ZA KIMAVAZI ZILIZOKERA WENGI.
Style Ya Kuvaa Nguo Zinazobana kwa Wanaume imekua ikikera wengi kwani watu wamekua wakidharaulika na kuonekana kama wakina dada. Watoto wa kiume hasa wanaotokea D'Salaam wamekua wakivaa na kufanana kama dada zao. Hili lilikera wengi katika mwaka 2012.










0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ