RONALDO NA MESSI KUCHEZEA TIMU MOJA
Posted in Cristiano Ronaldo, El Classico, Lionel Messi, RivaldoBaada ya wote wawili kukubali kutoa jersey zao kutoka El Classico iliyopita juzi zikapigwe mnada kwa ajili ya hisani inayoendeshwa na Rivaldo,jamaa hawa wamekubali ombi la Rivaldo la kucheza team moja katika mechi ya hisani itakayochezwa hivi punde..kaa tayari kuona kinachosubiriwa na wengi!
0 Maoni/comments: