Next
Previous
Showing posts with label Mecca Cheka. Show all posts

Wednesday, August 14, 2013

0

POMBE YANGU ARUSHAMIX | MECCA CHEKA - VEVE YANGU

Posted in


Kama kawaida ya wakazi wa Arusha, na wasanii wake wabunifu wenye vituko. Baada ya ngoma ya Madee kutikisa, sasa Mecca Cheka wanakuja na Veve Yangu (kwa majina mengineGomba yangu, Mirungi yangu.) Kama unakumbuka kushakuwa na remix nyingine zilizopita kama Kiroba(Leka dutigite)

Sunday, July 21, 2013

0

KUTOKA ARUSHA: MECCA CHEKA WAONEKANA KUWA NA BIFU NA JAMBO SQUAD

Posted in , ,
Mwaka jana mwezi wa pili katika blog hii tulifanya interview na Almando Mwirora wa Mecca Cheka na akasema kuwa walikuwa wananyonya na Jambo.... Inaonekana kama kuna tofauti kati ya MeccaCheka na JamboSquad,Chanzo haswa hakifahamiki vizuri ila kwa status hii ya MeccaCheka na majibu kadhaa toka kwa wadau, ni wazi kuwa anawazungumzia Jambo Squad, kama kuna tatizo tungependa lisuluhishwe haraka,BEEF SIO ISHU..

Thursday, October 4, 2012

0

WASANII WA HIPHOP TOKA ARUSHA ''MECCA CHEKA' WARUDI TOKA NAIROBI NA TRACK MPYA>>DOWNLOAD HAPA

Posted in , ,
SHUKA CHINI FOR DOWNLOADS>>>>>
Rizy na Mwirora wanaounda kundi la Mecca Cheka warudi toka Nairobi,Kenya baada ya kushiriki kikamilifu katika Pamoja Kids Concert iliofanyika Village Market Nairobi siiku ya jumapili tarehe 30 September mwaka huu na"

''Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama,mwendo wa shuttle kikubwa  kabisa mpaka jiji la Kibaki mapokezi mazito toka kwa Sister Kakii ambaye ndiye mwenyeji wetu,mapumziko ya kutosha katika apartments tulizotengewa ready for makamuzi ya hatari for fans wetu wa nairobi kesho yake ,Tumejifunza mengi,mziki wetu unakubalika kuliko maelezo na Meccacheka tumewakilisha vizuri pande za kenya na shukrani tele ziende kwa washabiki zetu all over Arusha kutusupport hadi kutambulika nchi jirani ,Familia zetu,Producers wa ngoma zetu na Media house zote Zinazosupport Meccacheka movements.Huu ni mwanzo tu wa safari yetu ya kimuziki watu wetu pande za Kenya wategemee show nyingine pande za Mombasa mwisho wa Mwaka huu kwa sasa tumerudi fit pande za hom tunajipanga kurecord pini mpya kadhaa pande za noizmekah studios.pata nyimbo zetu hapa'' 

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ