Sunday, July 21, 2013

0

KUTOKA ARUSHA: MECCA CHEKA WAONEKANA KUWA NA BIFU NA JAMBO SQUAD

Posted in , ,
Mwaka jana mwezi wa pili katika blog hii tulifanya interview na Almando Mwirora wa Mecca Cheka na akasema kuwa walikuwa wananyonya na Jambo.... Inaonekana kama kuna tofauti kati ya MeccaCheka na JamboSquad,Chanzo haswa hakifahamiki vizuri ila kwa status hii ya MeccaCheka na majibu kadhaa toka kwa wadau, ni wazi kuwa anawazungumzia Jambo Squad, kama kuna tatizo tungependa lisuluhishwe haraka,BEEF SIO ISHU..

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ