Thursday, October 4, 2012

0

WASANII WA HIPHOP TOKA ARUSHA ''MECCA CHEKA' WARUDI TOKA NAIROBI NA TRACK MPYA>>DOWNLOAD HAPA

Posted in , ,
SHUKA CHINI FOR DOWNLOADS>>>>>
Rizy na Mwirora wanaounda kundi la Mecca Cheka warudi toka Nairobi,Kenya baada ya kushiriki kikamilifu katika Pamoja Kids Concert iliofanyika Village Market Nairobi siiku ya jumapili tarehe 30 September mwaka huu na"

''Tunamshukuru Mungu tulisafiri salama,mwendo wa shuttle kikubwa  kabisa mpaka jiji la Kibaki mapokezi mazito toka kwa Sister Kakii ambaye ndiye mwenyeji wetu,mapumziko ya kutosha katika apartments tulizotengewa ready for makamuzi ya hatari for fans wetu wa nairobi kesho yake ,Tumejifunza mengi,mziki wetu unakubalika kuliko maelezo na Meccacheka tumewakilisha vizuri pande za kenya na shukrani tele ziende kwa washabiki zetu all over Arusha kutusupport hadi kutambulika nchi jirani ,Familia zetu,Producers wa ngoma zetu na Media house zote Zinazosupport Meccacheka movements.Huu ni mwanzo tu wa safari yetu ya kimuziki watu wetu pande za Kenya wategemee show nyingine pande za Mombasa mwisho wa Mwaka huu kwa sasa tumerudi fit pande za hom tunajipanga kurecord pini mpya kadhaa pande za noizmekah studios.pata nyimbo zetu hapa'' 




  Mecca Cheka ft Kakii-POLE
                                   Cheka Ung'atwe

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ