Next
Previous
Showing posts with label Gosby. Show all posts

Wednesday, August 14, 2013

0

HII NDO NYIMBO YA VANESSA ITAKAYOTOKA HIVI KARIBUNI

Posted in , ,
vanessa mdee


Vanessa Mdee baada ya kutoa ngoma yake ya Closer, anategemea kutoa wimbo mwingine ambao unaitwaMonifere akiwa na Gosby pamoja na Jux ambapo kupitia account yake ya instagram, V amepost cover la hiyo single ambayo bado hajasema lini itatoka.
Vanessa Mdee on new single August 14 2013

Monday, July 15, 2013

0

TRACK MPYA: DJ CHOKA FT. DEDDY, M-RAP, GOSBY & MABESTE - LATINO NATION

Posted in , , , , ,

Saturday, July 13, 2013

0

TRACK MPYA YA DJ CHOKA KUTOKA HIVI KARIBUNI | B' HIT MUSIC GROUP TENA

Posted in , , , , ,
 
DJ CHOKA IS BACKKKKK.... DJ Choka ft Deddy, Mrap, Mabeste & Gosby - LATINO NATION. Jumatatu hii 15/7/2013. Stay Tuned

Friday, June 28, 2013

0

NYIMBO MPYA NA KALI: GOSBY-BMS (BABY MAKING SWAG)

Posted in ,


Wednesday, June 26, 2013

0

MSANII TOKA B.HITZ MUSIC GROUP "GOSBY" AACHIA NYIMBO YAKE MPYA [B.M.S]

Posted in , ,

Kutoka B Hitz Group Gosby awaalika marafiki studioni ili waisikilize ngoma yake mpya 'B.M.S'sasa hivi ni wakati wakufungua champagne#
PANCHO LATINO AKISIKILIZA NGOMA HIYO

Thursday, January 31, 2013

0

Touches za Nissher na uwezo wa Dj Choka..kodolea macho video mpya

Posted in , , ,
Ngoma mpya toka kwa director mpya mwenye touch za mbele (kama wanavyosema wajanja wa town) kodolea macho hapa chini video mpya ya Dj Choka ft Mrap,Gosby,Vanessa,Mabeste&Deddy

Tuesday, December 18, 2012

0

BRAND NEW TRACK: Gosby ft Alice-Nafurahije

Posted in ,

      Gosby is Back!!! With NAFURAHIJE... Track iliyotengenezwa na Cjamoker na ikawa kamili kwa kuwa mastered na producer from BHitz Group, Yes... we be talking about Pancho Latino... Ni Ngoma Kali ikiwa imemshirikisha Alice, i think its a new voice in this music, but it took a great part on that chorus....
Iskilize hapa chini then you tell me about it:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ