Next
Previous
Showing posts with label M 2 THE P. Show all posts

Sunday, August 18, 2013

0

"M 2 THE P" FT. CHEGGE & COUNTRY WIZZY - MASAMBE WENA (OFFICIAL VIDEO)

Posted in , ,

RIP NGWAIR

Thursday, June 20, 2013

0

TAARIFA JUU YA DIAMOND KUFANYA MUZIKI NA -M 2 THE P- ??

Posted in ,


"Siku ya jana katika mishe mishe zangu nilikutana
 na ndugu yetu na mwanmuziki mwenzetu,M 2 the P ambae
 alikuwa ni mtu wa kalibu na
 marehemu Ngwair...kukutana kwetu  tulipata fursa ya
 kuzungumza mengi nna Mungu akipenda..maybe we gonn do
something" -Diamond Platnumz

Thursday, June 6, 2013

0

JINSI -M 2 THE P- ALIVYOMUAGA NGWAIR

Posted in ,

M2  THE P amefanikiwa  kutoa  salamu zake  za  mwisho  kwa  rafiki yake  kipenzi  ambaye  alikuwa  naye  huko  Afrika  kusini  tena  walikuwa  ndani  ya  chumba  kimoja  kabla ya  mauti  kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P alikuwa  amefichwa  na  kudanganywa  kuwa  Ngwea  alikuwa  ametangulia  Tanzania. Baadaye  Maggie  alilazimika  kumweleza  ukweli



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ