Jun
2013
20
TAARIFA JUU YA DIAMOND KUFANYA MUZIKI NA -M 2 THE P- ??
Posted in Diamond Platnumz, M 2 THE P"Siku ya jana katika mishe mishe zangu nilikutana
na ndugu yetu na mwanmuziki mwenzetu,M 2 the P ambae
alikuwa ni mtu wa kalibu na
marehemu Ngwair...kukutana kwetu tulipata fursa ya
kuzungumza mengi nna Mungu akipenda..maybe we gonn do
something" -Diamond Platnumz
0 Maoni/comments: