Next
Previous
Showing posts with label Juma Nature. Show all posts

Wednesday, August 21, 2013

0

INSPECTOR HAROUN NA JUMA NATURE KUTOA ALBUM YA PAMOJA

Posted in ,
Kabla ya ‘Mzee wa Busara’, ‘Unga Robo’ ‘Tatu Bila’ and before ‘Wanaume Halisi’, Juma Nature na Inspector Haoun had one of the most memorable feuds in music history.



Lakini sasa wawili hawa – wafalme wa Rap Katuni wanakuja ku-bless music na collaboration albam.

According to Insp. Haroun aka Babu who’s also a founder wa kundi la Gangwe Mob, albam hiyo inakuja kurudisha utawala wa Rap Katuni kwenye ramani ya music industry na kwa sasa
ipo kwenye hatua za mwisho kukamilika.

“Mimi na Sir Nature tunapofanya kazi mara nyingi tuna-deliver hits. Hivyo tulikaa chini na kuamua kutengeneza albam ya pamoja ambayo pia itarudisha hadhi ya muziki wa TMK – Rap Katuni. Tunakuja kukata kiu ya mashabiki wetu.”

When asked ni lini hasa albam hiyo itatoka, Inspekta said, “Albam ipo kwenye maandalizi mazuri sana mpaka sasa, na hivi karibu tuta-release ngoma ya kwanza though mpaka sasa hatujaamua mkono upi
tuuachie.

Tumefanya kazi na wasanii wengi wakubwa ndani East Africa, wakiwemo wanetu wa TMK. Soon baada ya Idd El Fitri tutangaza release date ya albam. Pia tutafanya tour ya nchi nzima katika kuitangaza albam
yetu.”

Wednesday, July 10, 2013

0

GOOD MUSIC: MKOLONI FT. JUMA NATURE & MAPACHA - BILA SABABU

Posted in , ,

“BILA SABABU” ni ngoma mpya kutoka kwa Mkoloni ambapo pia amemshirikisha msanii kutoka Tmk Wanaume Halisi akijulikana kama Juma Nature pamoja na Kundi la Mapacha kutoka Mwenge …

Wednesday, May 8, 2013

0

TMK WANAUME HALISI - FITINA (NEW MUSIC) | HII NDO ILE NYIMBO ALIYOTAJWA SAM MISAGO

Posted in , ,
Ni ngoma mpya kutoka kwa kundi la TMK WANAUME HALISI ambalo linaongozwa na mwanamuziki mkongwe kabisa katika muziki huu, Juma Nature ...


Sasa kundi hili limeachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la "FITINA" ...
Kama unakumbuka tulishawaletea kipande cha wimbo huu, kipande ambacho aliimba Juma Nature ikiwa ni kama Diss kwa mtangazaji ambae alimtimua katika kipindi chake kwa sababu Nature alikuwa amevaa ndala pamoja na vest ...
Chukua time yako ya kusikiliza ngoma hii hapa chini ...

Wednesday, November 7, 2012

1

DOWNLOAD AUDIO TRACK ''BONDI by Watoto wa Bibi JAMBO SQUAD ft JUMA NATURE''

Posted in ,



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ