Touches za Nissher na uwezo wa Dj Choka..kodolea macho video mpya
Posted in Choka, Gosby, Nisher Entertainment, Vanessa
Ngoma mpya toka kwa director mpya mwenye touch za mbele (kama wanavyosema wajanja wa town) kodolea macho hapa chini video mpya ya Dj Choka ft Mrap,Gosby,Vanessa,Mabeste&Deddy
0 Maoni/comments: