Next
Previous
Showing posts with label Bongo Flava. Show all posts

Wednesday, July 17, 2013

0

BAADA YA NDAUKA, SASA MZEE MAGALI NAYE AAMUA KUIMBA BONGO FLEVA

Posted in , , ,

cd (8)

Wiki kadhaa zilizopita msanii wa bongomovie Rose Ndauka alishirikishwa kwenye collabo na kundi la TNG Squard kwenye wimbo wao mpya, baada ya hapo idadi ya wasanii wa bongomovie ambao wanafanya muziki ilizidi kuongezeka wakiwafuata wakina Snura na Shilole.
Leo hii msanii mkongwe na maarufu sana kwa kuigiza kama mtu katili au wakati mwingine mtu tajiri Mzee Magari, ametoa wimbo wake unaitwa “Dar Raha” ambapo kwenye interview na millardayo.com Mzee Magari anasema “Ninampango wa kuifanya fani hii ya muziki kuwa serious kama ilivyo kwa upande wa movie, sijatoa huu wimbo kwa kujifurahisha bali muziki pia ni kitu ninachokipenda…. kuna baadhi ya wasanii wanafahamu historia yangu na muziki kabla hata sijaanza kuigiza movie“.

Thursday, March 15, 2012

0

Interview With Tanzanian upcoming Artist TASH, The CHAPIA singer

Posted in , ,
Jina Kamili: ALLAN ELIREHEMA aka TASH


A.B: JE nini Asili Ya Jina TASH?
TASH: JIna limetoka kwenye CREW yake ya zamani iliyoitwa Watashi Flani. Hvyo mi nkawa naitwa A-Tash.

A.B: so kwa sasa unajihusisha na crew yoyote?
Tash: Right now nko mwenyewe coz, masela kwa sasa wanapiga ishu nyingine

A.B: Unategemea lini kutoa Album?
Tash: Kwa sasa hivi bado sijawaza sana hatua hiyo, maana bado mapema ila ntakapopanga itakua hvyo.

A.B: Muziki wa sasa unaenda na kisomo. Je umejipanga vpy kielimu au Umeshamaliza??
Tash: Suala la Elimu Muhmu hvyo najipanga kuingia chuo, ndo nasbiria mda ufike.

A.B: Pembeni ya mziki we ni mpenzi wa nin hasa??
Tash: Napenda soka sana sana, na ni shabiki wa YANGA kwa hapa nyumbani, Na MAN-UTD ulaya ila hata Movies pia.
 A.B: Hapo kwa MAnUTD tuko pamoja, ila kwa TZ mimi SIMBA.

A.B: NAni alikuvutia ukaingia kwenye Game la mziki??
Tash: Wapo wengi ila G.Nako nmetokea kumuelewa sana, maana ni mtu mwenye style yake peke yake, ila Hata Kanye West, AY, Fid Q nawaelewa sana na napenda kufata nyayo zao.

A.B: Ulivyoingia kwenye mziki wazazi walikuchukuliaje?
Tash: Hawakunielewa ila baada ya kushnda Freestyle Battle Arusha wakanielewa na sa hivi ni maSuporters wangu wakubwa.

A.B:Unaonekana umekaa sana pande za Chugga?? And unaonaje ushindani, coz upcoming artists mko wengi saana?
Tash: Kwetu ni A-Town kabisa, na ushindani ni mkubwa sana, ila tunatofautiana style ya kuimba na ubunifu, ivyo ili utoke unaitaji akili ya ziada.

A.B: Tena akili ya Chapia kama yako........ So mpaka sasa umepiga show ngapi? na unaonaje mapato yake?
Tash: Nimepiga show kadhaa kaka, ila naamini zitakuja nyingi zaidi, kwani huu ndo mwanzo, na mapato ni ya kawaida, coz ni bora kupata kidogo kuliko kukosa kabisa, naamini ntapaata zaidi ya hiki nnachokipata sasa.


Thursday, March 8, 2012

0

INTERVIEW WITH Tanzanian Upcoming Artist/Rapper, "STAMINA"

Posted in ,
#Jina Kamili: Boniventure Kabogo

A.B93: Nini kimekupelekea uitwe/Ujiite STAMINA?
Stamina: Uhimala wangu kwanzia mashairi,sauti,stage na maisha kiujumla

A.B93: Umeingia lini kwenye gem/Nani alikuvutia?
Stamina: Long tym bt nimeanza kujulikana mwaka jana. FID Q ndo mtu aliyenifanya nifanye game coz he iz my godfather

A.B93: Unaonaje Competition ya Mziki type yako Bong?
Stamina: Hakuna mashindano yasiyokua na ushindani kwangu ni kama challenge ya kuzidi kukomaa na kufanya vizuri zaidi

A.B93: Unafkiria Kutoa lini Album
Stamina: Mwezi wa 7 mwishoni

A.B93: So Siku Hizi mziki unaenda na Elimu, we umejipanga vipi Kielimu
Stamina: Nimehitimu kidato cha 6 mwaka huu, Mbezi Beach High School.

A.B93: So kaka Una Demu/au umeoa kabisa?
Stamina: Mimi ni lijali, Nna demu, Mke baadae sana

A.B93: So Apart from Mziki Unafatlia sana kitu Gani?
Stamina:Nacheza Soka, and Ni shabiki wa YANGA kwa Tz, na Wa Man Utd, na Barcelona Ulaya
###Thats how the Interview went.
#Amepiga Show za Kutosha, na anakubalika, kutokana na Mistari yake ya maana.

#Songs Za Stamina Zinazohit:
1.Stamina Ft Rich Mavocal-Kabwela
2.Stamina ft Belle 9-Over size B-52 by Stamina Super Mario
3.Stamina ft Jux-Alisema



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ