PHOTO }TATOO ALIYOJICHORA UWOYA MGONGONI
Posted in Irene UwoyaHivi karibuni Irene Uwoya alisema kwamba anamipango ya kuacha bongo movie lakini hakuweza kutoa sababu zinazomsababisha yeye kuacha tasinia hiyo ya bongo movie. Mwanadada huyo amerudi tena kwenye headlines kwa kuonyesha tattoo yake aliyojichora mgongoni.
0 Maoni/comments: