PICHA: RAY C AKIJIFUA TAYARI KWA KURUDI RASMI
Posted in Ray C
Siku chache zilizopita msanii maarufu wa kike Ray C alibatizwa na kusema kwamba tayari ameachana na mambo yote yaliyopita na sasa “Nimebatizwa Rasmi kanisa la Siloam…Shika neno tenda neno,Shetani huna nafasi tena kwenye Maisha yangu, nimepewa ruksa na Mwenyez Mungu nikukanyage kanyage Usinizoee!!!! Ameeeen!”.
Kwa sasa Ray C anajipanga kurudi tena kwene game la muziki huku akiwa anashinda gym kujiweka fit na kujipa muonekano mzuri kwa mashabiki wake ambao wana hamu kubwa ya kumuona
0 Maoni/comments: