HUYU NDO MSANII PEKEE ATAKAYEIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA CHANNEL O
Posted in A.Y, CHOMVA
Ambwene Yesaya A.Y, peke yake ndo anashindania tuzo za Channel O, Music Video Awards CHOMVA, akiwa katika category ya Most Gifted Male na nyimbo ya Party Zone aliyomshirikisha Marco Chali.
0 Maoni/comments: