Thursday, August 29, 2013

0

MCHEZAJI BORA WA MWAKA UEFA NI RIBERY | ARSENAL YAPANGWA KUNDI LA KIFO

Msimu wa 2012/13 ulikua ni wa kipekee sana huku ukiwa wa kiushindani kuliko, ambapo Wajerumani walitawala huku vinara wao wakiingia fainali ya UEFA cl. Hiyo imepelekea mchezaji wa Bayern Munich, Franck Ribery kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka.
Franck Ribery amechukua tuzo hiyo akiwapiku Lionel Messi na Cristiano Ronaldo.


Ribéry : "It's very special moment to be here this evening.
I'm happy with the award winning and I want to thank my teammates , family and my children"

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ