DIAMOND PLATNUMZ AMZAWADIA MZEE NGURUMO | HII NDO ZAWADI ALIYOMPATIA
Posted in Diamond Platnumz, Muhidin Ngurumo
Msanii
Diamond Platnum amefanya kufuru usiku huu kwa kutoa zawadi ya Gari kwa
Mzee Ngurumo Mwanamziki wa miaka mingi na mkongwe nchini aliyestaafu
majuzi kufanya kazi za mziiki.
Tukio hilo limetokea usiku huu ndani ya
ukumbi wa SERNA HOTELkatikati ja jiji la DSM ambapo Diamond Platnum
anazindua video yake ya wimbo wa #one fun.
Kiingilio cha show hiyo ni bureeeeeeeeeeeee....LAKINI UMEALIKWA?
Picha za tukio zima nitawaletea hivi punde.
Mzee Ngurumo amesema"Haamini macho na
masikio yake,hanachakusema zaidi ya ASANTE kwa msanii huyo"Lakini pia
amesema hajui hata mke wake atasemaje baada ya kumwona akiingia na gari
ndani ya nyumba yake.
Mzee ngurumo amekuwa na matatizo ya
kiafya siku za karibuni nakupelea kustaafu mziki kabisa.Wazee wa
msondongoma ndio wanajua makali ya Mzee Ngurumo.
0 Maoni/comments: