NYIMBO MPYA: G NAKO FT. HENRY - WARA WARA NA MPIRA
Posted in Chizan Brain, Def Xtro, G Nako, Henry, Noizmekah Records
Ngoma inaitwa WaraWara na Mpira (Mr Lover),
wimbo mpya wa G-nako akiwa amemshirikisha Henry,toka Wakwetu Jazz Vibe,
Kazi ikiwa ni pishi la studio mbili, Noizmekah Arusha kwa Defxtro
pamoja na B records kwa Chizan Brain,
download HAPA ,kwa mawasiliano/Mahojiano/Bookings check na Gnako kupitia +255 715 593 041 powered by www.vmgarica.com-----------
G-nako ft Henry-WaraWara na Mpira http://goo.gl/6hTwFy
0 Maoni/comments: