RAISI KIKWETE KUWA REFA MECHI YA WABUNGE (USIKU WA MATUMAINI)
Posted in Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, Usiku wa MatumainiMhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amekubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalo fanyika Jumapili hii, Julai 7 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Aidha, Rais atahutubia katika tamasha na pia atakuwa refa wa mechi za wabunge wa Yanga na Simba.
0 Maoni/comments: