Wednesday, May 8, 2013

0

MSANII BARNABA ASAINI MKATABA MNONO NA BARCLAYS

Posted in , ,

 
Yule mkali kutoka TANZANIA HOUSE OF TALENT (TH) Mkali wa hit single ya AM SORRY ELIAS BARNABAS A.K.A BARNABA hivi karibuni alikuwa nchini kenyakwa ajili ya kusign mkataba mnono  na bank ya barclays na kutengeneza nyimbo maalum ambayo itakuwa kama nyimbo ya kuamasisha wananchi wa kitanzania afya za wakina mama na wajawazito na afya zao, BARNABA NA KIDUMU ndio mabalozi wa huo mradi, Wameshaingia studio na kidumu kwa ajili yakupata sound tofauti na test tofauti. na baada ya hapo mradi huo na wimbo huo utazinduliwa mapematarehe 8mwenzi ujao.hyperhk.blog inamtakia kila la heri barnaba katika mafanikio yake kimuziki.


 Baadhi ya mizigo ya barnaba inayokaa kwenye mfuko wake

Huu hapa mkataba wa BARNABA a.k.a CLASIC Nikinukuu maneno ya RUGE mutahaba juzi wakati akizungumza swala la lady jaydee alitolea mfano akasema  '' WASANII WA UGANDA WAMEKUWA NA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITA WASANII WA TANZANIA KWASABABU YA MIKATABA MINONO YA MAKAMPUNI WANAYOINGIA NA WASANII. mwisho wa kunukuu. hivyo mkata huu wa BARCLAYS NA BARNABA i hope utamsogeza sana mbele BARNABA.

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ