Wednesday, May 8, 2013

0

SNURA AMALIZIA SEHEMU YA SHOOTING YA NYIMBO MAJANGA SOUTH AFRICA | PICHA

Posted in


Yule mwanadada mkali anaetamba na wimbo wa  MAJANGA Anaejulikana kama SNU SEX mwiitwe SNURA leo anamalizia baadhi ya clip ya video yake ya majanga south Africa ambapo alikwenda huko kwa ajili ya kufanya filamu na kurecord video.

 Pia unaweza kuupata wimbo wa majanga kama MUITO KWENYE SIMU YAKO andika GB kisha tuma kwenda 15050



0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ