Thursday, March 14, 2013

0

SOULJA BOY KUJIUNGA YMCMB???

Posted in , , ,


Hivi karibuni iliripotiwa kuwa rapper Soulja Boy kutaka kujiunga na kundi la Cash Money [YMCMB] lililo chini ya rapper Birdman na Lil Wayne...
What does Birdman and YMCMB have for us??!!!
Soulja Boy ameripotiwa kuwepo MIAMI kwa wiki nzima sasa na pia kuonekana na Tattoo mpya inayosomeka RICH GANG ambalo ni jina la kundi jipya la Birdman.
At the same time, Soulja Boy ameonekana akila bata refu sana na Birdman, Bow Wow pamoja na manager wao Miami Mike.
Mwaka 2011 Soulja Boy aliwahi kusema kuwa Birdman alitaka kusaini kwenye label yake lakini haikuwezekana kutokana na kwamba Soulja Boy alikuwa chini ya Interscope Records na hivyo kushindikana.
Birdman alikanusha taarifa hizi kwenye mtandao wa kijamii wa twitter ingawa kwa sasa Soulja Boy ni free agent akiwa yuko mwenyewe baada ya kutoka Interscope, je atajiunga na kundi hilo??? Kuna kundi lingine ataingia???

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ