Friday, March 29, 2013

0

MASHABIKI MKOANI GEITA WASABABISHA HASARA HOTELI ALIYOFIKIA DIAMOND

Posted in ,

Nikiwa mkoani Geita,Hotelini nimepumzika
Uongozi wa Hoteli ulikuja chumbani na kunijuza kuwa kuna
Umati wa watu upo chini umezingira Geti na kuzuia baadhi ya shuguli
za hoteli kusimama kwa muda wa dakika kama 45 na kitu hivi...wananchi hao walikua hapo wakijaribu kutafta nafasi hata ya kuniona ama wakibaatika kunishika hata mkono kabisa....kuonyesha jinsi gani nawapenda na kuwathamini mashabiki zangu ilinibidi nishuke chini na kwenda kuwasalim na kuwapa mkono wa ijumaa karim..

Nilienda moja kwa moja kwenye Geti kushow love and respect kwa mashabiki
waliofurika hotelini hapa...wakubwa kwa wadogo.....Kuwasihi kwa kuwa
biashara ya hotelini hapo ilisimama kwa muda kadhaa....!!
Ilinibidi kuwasalimu na kuwapa mkono mmoja mmoja ili kuwasihi
kuachia mlango huo wa kuingilia hotelini hapo......
hekima na busara utumika sehemu hii....!!!




Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana Kipenzi chao
Nimewasili....Amani na Upendo ndio Lugha ya WATANZANIA..!!
Nashukuru Mungu walitii tamko langu na kuachia uwazi wa geti ilo
baada ya kuwasalim...Ukarimu na heshima ilitawala muda huu pia...!!

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ