HIP-HOP's WEALTHIEST ARTIST 2013
Posted in P.Diddy
Sean Combs by real name famously known now by DIDDY, amechukua nafasi ya kwanza kama msanii wa muziki wa hip-hop tajiri kuliko wote...
According to forbes.com, Diddy anawapita rappers wengine kama Jay-Z, 50 Cent na wengineo kwa mapene mengi tu na kuongoza kwa mwaka huu wa 2013 akiwa na dola za kimarekani $580 Milion...
Sean ambae alianza ku-rap miaka ya 90 singing everything about gettin' that paper amekuwa na pesa nyingi sio tu kupitia record label yake ya Bad Boy inayojishughulisha na muziki ila pia na pombe aina ya Ciroc ambayo aliingia nayo mkataba hivi karibuni...
Vodka hiyo imekuwa ni moja ya vinywaji ambavyo brand yake inafanya vizuri sana sokoni... Akikamata namba moja, Diddy amefuatwa na Jay-Z katika nafasi ya pili, Dr. Dre amechukua nafasi ya tatu akifuatiwa na Birdman (Cash Money) huku rapper kutoka Queens, 50 Cent akifunga tano bora katika ranks hizi...
0 Maoni/comments: