Napenda kumshukuru Mungu kwa Siku ya Jana tarehe 29 mwez wa 3.......... kuanzia nilipowasili Mkoani Geita,kwa mapokezi mpaka Usiku nilipoenda kuwajibika na kukonga nyoyo za mashabiki zangu Mkoani Geita..... Nashukuru Uongozi Mzima waliosimamia Ulinzi Kuimarika na kuimarisha Ulinzi kwa maelfu ya mashabiki waliofurika ukumbuni Humo....!! Nawashukuru Mashabiki zangu wote waliojitokeza jana kwenye show na hata wale ambao walitamani kuwepo lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao awakuweza kufika....!! Nikiwa na Crew yangu Nzima niliweza kutimiza yale waliyotegemea wanachi wa Geita...ule udambudambu wa kimanyema wote niliudondosha Hapa kati....
Zifuazo ni Picha Matukio yote yaliyojiri kwenye Easter Friday ndani ya Geita.....!! |
0 Maoni/comments: