FLAVIANA MATATA ANYAKUA TUZO
Posted in Africa's Most Outstanding Model, Flaviana Matata, Nigeria's Next Super Model
Mwanamitindo maarufu Flaviana Matata amenyakua tena Tuzo kutoka nchini Nigeria akiwa kama Africa’s Most Outstanding Model 2012. Mwanamitindo huyo ambaye pia mwaka jana mwezi December aliweza kuzawadiwa tena Tuzo ya Diaspora 2012 akiwa kama Face Of Africa
Tanzania inajivunia kuwa na mwanamitindo kama huyu na pia anastahili pongezi ya hali ya juu kwa sababu anazidi kuitangaza nchi yake katika mataifa mbalimbali na kuzidi kuendelea kufanya vizuri.
Hongera Flaviana Matata.

0 Maoni/comments: