"NEY WA MITEGO" APATA MTOTO WA KIUME
Posted in Ney Wa MitegoNey Wa Mitego ni msanii mkali wa bongo flava aliyetokea kujipatia umaarufu mkubwa kwa ngoma zake zinazoongea ukweli moja kwa moja, yaani non-fiction, amekaribisha kiumbe kingine duniani jana usiku... Karibu True Boy Junior. Hoongera sana bro. We wish you all the best kwako, mzazi mwenzio, mwanenu, na muziki wako kwa ujumla.


0 Maoni/comments: