UZINDUZI WA SANAMU LA ALEX FERGUSON OLD TRAFFORD WAFANA
Posted in Alex Ferguson
Leo Ndio ulkua uzinduzi wa sanamu la SAF, Lililowekwa nje ya uwanja wa old trafford. Wengi wamesema ya kumsifia na wengi walihudhuria uwanjani hapo.Mchezaji Cristiano Ronaldo yeye aliomba msamaha kwa kukosa sherehe hizo.
Bila Kusahau uzinduzi wa Picha ya mafanikio ya Sir Alex Ferguson ambayo pia imezinduliwa leo kukarbisha mashabiki.
PICHANI>>


0 Maoni/comments: