SINA UHUSIANO WOWOTE NA NEY WA MITEGO NA WALA MI SI MSAGAJI:''NISHA''
Posted in Ney Wa Mitego, Nisha
Msanii wa tasnia ya filamu Bongo,anaye julikana kwa jina la SALMA JABU a.k.a NISHA amefunguka zaidi kuhusiana na skendo iliyowahi kumkuta ya kuwa yeye ni msagaji na kusema ni skendo iliyokua inamnyima usingizi kwa kuwa alivyojieleza sivyo ilivyokua kutokana tu na kutokua na upeo wa kujielzea kutokana na uchanga katika sanaa kipindi hicho.

Nisikuchoshe msomaji wangu, msikilize Nisha akijieleza mwenyewe mbele ya mpekuzi wetu Katikati ya interview kuna mziki kidogo, halafu mwishoni interview inaendelea
0 Maoni/comments: