Monday, September 24, 2012

0

NDOTO YA RAIA WA CATALAN YAKARIBIA KUTIMIA WAKIWA NA BARCELONA

Posted in ,
 Imekuwa ni Ndoto ya mashabiki wengi wa soka waliopo katika mji ambao ni makao makuu ya BARCELONA, Catalan au Catalunya kwa kibongo wakitaka kuona timu hiyo ambayo wanaitafsiri kama timu ya taifa ya mji wao ulio mkubwa kuliko yote Hispania wakivaa jezi zenye rangi ya bendera yao.
Mfano Wa Jezi

Ndoto hiyo itatimia Msimu Ujao 2013/2014 Ambapo jezi hizo zitavaliwa kama za Ugenini. Mashabiki wamesubiri kwa takribani miaka 113 kuona mistari hiyo ya Aragon yenye rangi ya Gold na Nyekundu ikijumuishwa kama sehemu ya jezi









''Barcelona's away kit for the 2013-2014 season will feature the red and gold colours of the Catalan flag, according to regional newspaper Sport.
Fans have waited 113 years to see the Bars of Aragon on the region's most successful club and will finally get their wish next year.
The jersey will feature the famous red and gold stripes in an attempt by the club's directors to promote the team's connection to the autonomous region and its people.
According to Sport, Barca is "reinforcing the sporting and sentimental ties that the majority of the population of the region share,"

The current home and away jerseys already have had the colors of the Catalan flag on the back of the shirt since Joan Laporta's regime took charge in 2003, but this move goes a step further.''

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ