LIGI KUU UINGEREZA KUENDELEA WIKIENDI HII ''RATIBA, MSIMAMO''
Posted in Barclays Premier League, Barclays Premier League Preview
RATIBA:
Jumamosi Septemba 15
[Saa 8 Dak 45 Mchana]
Norwich City v West Ham United
[Saa 11 Jioni]
Arsenal v Southampton
Aston Villa v Swansea City
Fulham v West Bromwich Albion
Queens Park Rangers v Chelsea
Stoke City v Manchester City
[Saa 1 na Nusu Usiku]
Sunderland v Liverpool
Jumapili September 16
[Saa 12 Jioni]
Reading v Tottenham Hotspur
Jumatatu Septemba 17
[Saa 4 Usiku]
Everton v Newcastle United
#######################################
MSIMAMO:
[Timu zote zimecheza Mechi 3 isipokuwa inapotajwa]
1. Chelsea Pointi 9
2. Swansea 7
3. WBA 7
4. Man. City 7
5. Man. United 6
6. Everton 6
7. West Ham 6
8. Arsenal 5
9. Wigan 4
10. Newcastle 4
11. Fulham 3
12. Stoke City 3
13. Sunderland Mechi 2, Pointi 2
14. Tottenham 2
15. Norwich 2
16. Reading Mechi 2 Pointi 1
17. Aston Villa 1
18. Liverpool 1
19. QPR 1
20. So’pton 0
CHANZO: Soka In Bongo
0 Maoni/comments: