Thursday, August 30, 2012

0

Wanawake Togo Wamegoma Kutoa Unyumba(Togo's Sex Strike)

Posted in ,
Wanawake Wote Nchini Togo, Wamegoma Kutoa Unyumba kwa Wanaume ili Wanaume wajipange na Kupambana na Dikteta . Wakihojiwa na CNN, Wanawake hao wamesema, Wanahitaji Wafungwa wote waachilie kwa madai kuwa wameonewa na wanataka waume wao waingie vitani ili kupambana na Dikteta huyo.
A woman confronts police officers outside a gathering in Lome, Togo, of the opposition group Let's Save Togo.Wasimamizi wa Mgomo, wamesema, hawatalala na waume zao hali jambo hilo litekelezwe, na Watafanya kila namna hadi jambo hilo liende sawa kwa gharama yoyote ile.
Haya Yote yanakuja baada ya Wanawake na Wanaume wote TOGO, kuchoshwa na uongozi wa Kifamilia ya Gnassingbe, ambayo alianza Baba, na baada ya kufariki mnamo mwaka\a 2005 mwanae Faure Gnassingbe ameshika madaraka, huku ikitambulika kuwa baba yake alikaa madarakani kwa miaka 38.
''Kugomea Unyumba kumetokea Sehemu Nyingi Sana Duniani, Lakini Kumesaidia sana Kuleta Mapinduzi Ya Kidemokrasia.''

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ