Wednesday, August 29, 2012

0

Nadhani CR7 Anapaswa Kutwaa TUZO

Posted in , , ,
Kwanza Kabisa Alifunga Goli 60 Msimu Uliopita licha ya Hasimu wake LM10 kufunga 80. Goli Zake 60 ziliifanya Real Madrid Kuchukua La LIGA, Vilevile aliisaidia Ureno Kufika Nusu Fainali ijapokua ilitolewa Kwa Penati na Hispania, Huku akiwa miongoni mwa wafungaji bora na Wachezaji bora.
Mpaka Sasa Toka Ligi Kuu Hispani Ianze Hajaweza Funga Goli, Bali Amefunga Magoli Mawili na yote ni katika El Classico-SuperCoppa. Yeye Ndiye Aliyefunga Goli La Ushindi leo, Ambalo ni Goli La Kuhadithia hata katika Miaka Ijayo. Tayari ana Tuzo Ya Mchezaji bora Wa Hispania, Na nnadhani anapaswa kuchukua Tuzo ya Mchezaji Bora Wa UEFA inayotolewa leo hii, na Pia hata Ballon D'Or 2012.
 
CR7 na Pepe

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ