Thursday, July 26, 2012

0

Mshiriki wa Olympics atimuliwa kwa suala La Kibaguzi

Posted in
Olympic yaanza kwa style ya kipekee,mshiriki wa Greece katika mchezo wa ''tripple jump''(anayejua kwa kiswahili huu mchezo anisaidie) ametimuliwa kambini na hatashiriki baada ya kupost tweet ya kibaguzi kwenye personal account yake ya tweeter..
Papachristou aliandika,(natafsiri)..''na hivi kuna waafrica wengi ugiriki kwa sasa,nadhani mbu kutoka magharibi mwa mto Nile watakuwa wanakula chakula cha nyumbani''
Hata hivyo Papachristou alikuja kuomba msamaha kwakutumia account yake ya facebook lakini haikusaidia kwani alikuwa keshatimuliwa

#Say No To Racism

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ