Thursday, July 26, 2012

0

Hawa Ndo Washiriki Wa Olympics Toka Tanzania

Posted in
London 2012 Olympics..
Country Profile
#TANZANIA
Imewakilishwa kwa mara ya kwanza Tokyo 1964 na team ya washirii wanne
Hadi kufikia hivi leo Tanzania ina medali mbili tu;
Aliyoshinda Filbert Bayi Moscow 1980 medali ya shaba katika mbio za mita 3000 na Suleiman Nyambui medali ya shaba pia katika mbio za mita 5000
Mashindano yaliyopita Beijing,China haikuambulia chochote.

Washiriki wa mwaka huu ni
Ammaaeri Ghadiyali (kuogolea)
Selemani Kidunda (ngumi)
Magdalena Moshi (kuogelea)
Zakia Mrisho (riadha)
Mohamedi Ikoki Msandeki (riadha)
Faustine Mussa(riadha)
Samson Ramadhan (riadha)

0 Maoni/comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Msimamo Ligi Kuu TZ